"

SURA YA 1: MAAMKIO

3 Lesson 3: Kuulizia kuhusu watu wengine

Performance Objectives

By the end of the unit, learners will be able to:

  • greet a friend or colleague and ask them about their family, friends, and others.

Mazungumzo 1: Lulu asking Yusufu about his roommate Musa

Lulu: Hujambo Yusufu?

Yusufu: Sijambo, na wewe je?

Lulu: Mimi pia, sijambo. Musa hajambo?

Yusufu: Yeye Hajambo.  Tutaongea baadaye.

Lulu: Tutaongea baadaye. Kwaheri.

Yusufu: Kwaheri

Mazungumzo 2: Neema asks Juma about his mother, who was recently ill.

(**Mother=Mama)

(**Thank you=Asante)

Neema: Hujambo Juma

Juma: Mimi sijambo. Na wewe je?

Neema: Mimi pia sijambo. Mama hajambo?

Juma: Yeye hajambo. Asante

Neema: Asante.

Zoezi la 1: Scenario

Role-play a dialogue between you and your classmate, greeting and asking about each other’s parents.

 

Zoezi la 2: Identify and highlight.

Identify and highlight the words used when asking about other people during a greeting.

 

Zoezi la 3: Fill in the blanks with the correct form of jambo greetings.

Mazungumzo 3: Neema’s teacher asking about Neema’s Mom and Dad using jambo greetings

Mwalimu: Hujambo Neema?

Neema: Sijambo mwalimu na wewe je?

Mwalimu: Mimi pia sijambo. Baba na mama hawajambo?

Neema: Wao hawajambo. Asante

Mazungumzo 4: Amina asks Malaika about her roommates (Imani and Jamila), whom she hasn’t seen in a while.

Amina: Hujambo Malaika?

Malaika: Sijambo Amina, na wewe je?

Amina: Mimi pia sijambo. Imani na Jamila hawajambo?

Malaika: Wao hawajambo.

Amina: Tutaonana jioni. Kwaheri

Malaika: Sawa, tutaonana jioni. Kwaheri

Zoezi la 4: Kuzungumza

Two of you go to another pair of students. Greet the two using the appropriate greetings. You go to another pair of students and repeat until you have greeted all the pairs of students.

Zoezi la 5: Fill in the blanks with the correct subject pronoun

 

QUIZ 1

License

Icon for the Creative Commons Attribution 4.0 International License

Elementary Swahili I Copyright © by Gorrety Wawire is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 International License, except where otherwise noted.