SURA YA II: KUJITAMBULISHA
7 Lesson 1: Kumkaribisha Mgeni
Performance Objectives
By the end of the lesson, the learner should be able to;
- to welcome a visitor in a culturally appropriate way
- announce their arrival when they visit an East African home
- announce their departure after they visit or meet someone
Mazungumzo 1: Adila visits Amani
Adila: Hodi! Hodi!
Amani: Karibu! Habari gani?
Adila: Nzuri sana. Na wewe je?
Amani: Nzuri pia. Karibu kiti.
Adila: Asante sana. Habari ya Watoto?
Amani: Nzuri sana, na wewe je?
Adila: Nzuri pia. Habari za kazi?
Amani: Nzuri sana. Ninapenda kazi yangu sana.
Adila: Vizuri sana.
Amani: Karibu maji.
Adila: Asante sana.
Zoezi la 1: Scenario
Practice role-playing a scenario where one student is the host, and the other is the guest. Use greetings and common welcoming phrases in Swahili.
Mazungumzo 2: Imani visits Baraka shortly
Imani: Hodi! Hodi!
Malaika: Karibu! Hujambo?
Imani: Sijambo na wewe je?
Malaika: Mimi pia sijambo.
Imani: Karibu ukae, tafadhali
Malaika: Samahani, sikai(I won’t sit)
Imani: Sawa, Kwaheri, tutaonana jioni.
Malaika: Kwaheri, tutaonana baadaye.
Zoezi la 2: Match the following polite words with their equivalent in English.
Mazungumzo 3: Two children arrive to visit with their grandparents
Tatu na Nia: Hodi! Hodi!
Bibi na Babu: Karibuni!
Tatu na Nia: Shikamoo bibi na babu?
Bibi na babu! Marahaba wajukuu. Hamjambo?
Tatu na Nia: Hatujambo na nyinyi je,
Bibi na Babu: Sisi pia Hatujambo. Baba na mama hawajambo?
Tatu na Nia: Wao hawajambo.
Bibi na babu: Karibuni kiti
Tatu na Nia: Asanteni. Habari ya kazi?
Bibi na Babu: Nzuri sana. Habari za masomo?
Tatu na Nia: Nzuri sana
Bibi: Karibuni chai!
Tatu na Nia: Asante sana.
Zoezi la 3: Scenario
Juma is an American student studying in Kenya for the fall semester. He visits Abdi’s house. Role-play the conversation between Juma and Abdi’s mother. Showcase cultural appropriateness when visiting someone’s house in East Africa.