"

SURA YA III: SIKU YA KUZALIWA

13 Lesson 1: Nambari

Performance Objectives

By the end of this lesson, the learner will be able to;
  • know and count the cardinal and ordinal numbers in Swahili
  • do basic math problems

Msamiati

Kiswahili Kiingereza Kiswahili Kiingereza
Mwaka/Miaka Year/Years Simu Phone
Umri Age Tarehe Date
Kuzaliwa To be born Leo Today
Mwezi Month Kesho Tomorrow
Nambari Number Jana Yesterday
Siku Day Juzi The day before yesterday

Nambari 1-10

Nambari Kwa Maneno
0 Sufuri
1 Moja
2 Mbili
3 Tatu
4 Nne
5 Tano
6 Sita
7 Saba
8 Nane
9 Tisa
10 Kumi

Zoezi la 1: Tuimbe

Moja, mbili, tatu, nne, tano, sita, saba, nane, tisa na kumi! *4

Zoezi la 2: Nambari

Zoezi la 3: How many do you see?  Write the number in Swahili

Photo by Firdy on Unsplash

Photo by Marek Studzinski on Unsplash

Photo by Alain Bouchard on Unsplash

Photo by Kelly Sikkema on Unsplash

Photo by Buse Doga Ay on Unsplash

Photo by Ricardo Díaz on Unsplash

Photo by Matt L on Unsplash

Photo by Keila Hötzel on Unsplash

Photo by Lavanya Beeraboina on Unsplash

Photo by Oshin Khandelwal on Unsplash

Nambari 21-100

11 = kumi na moja

12= 10 na 2

11 Kumi na Moja
12 Kumi na mbili
13 Kumi na tatu
14 Kumi na nne
15 Kumi na tano
16 Kumi na sita
17 Kumi na saba
18 Kumi na nane
19 Kumi na tisa
20 Ishirini
21 Ishirini na moja
22 Ishirini na mbili
23 Ishirini na tatu
24 Ishirni na nne
25 Ishirini na tano
26 Ishirini na sita
27 Ishirini na saba
28 Ishirini na nane
29 Ishirini na tisa
30 Thelathini
40 Arobaini
50 Hamsini
60 Sitini
70 Sabini
80 Themanini
90 Tisini
100 Mia moja

Zoezi la 4: Nambari

Write the following numbers in Swahili

 

License

Icon for the Creative Commons Attribution 4.0 International License

Elementary Swahili I Copyright © by Gorrety Wawire is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 International License, except where otherwise noted.