SURA YA VI: NYUMBANI
25 Lesson 2: Sehemu za Nyumba
Performance Objectives
By the end of this lesson, the learner will be able to
- list parts of the house
- describe their house/apartment
Msamiati
Kiswahili | Kiingereza | Kiswahili | Kiingereza |
Chumba | Room | Jikoni | Kitchen |
Sebule/Baraza | Living room | Choo/Vyoo | Toilet/Toilets |
Chumba cha kula | Dining room | Bafu/Mabafu | Bathroom/Bathrooms |
Chuma cha kulala | Bedroom | Nyumba | House |
Nyumba ya kukodi | Rented house/ apartment | Barabara | Street/avenue/Boulevard |
Zoezi la 1: Review msamiati
Photo by Naomi Hébert on Unsplash
Photo by Grace Kelly on Unsplash
Photo by Jared Rice on Unsplash
Photo by Jared Rice on Unsplash
Kusoma 1: Juma describes his apartment
Mimi ninakaa katika nyumba ndogo. Nyumba yangu ina baraza ndogo, jikoni ndogo, chumba kimoja cha kulala, bafu moja, na choo kimoja.
Kusoma 2: Maria describes her house
Jina langu ni Maria. Mimi ni mwanafunzi. Ninakaa katika nyumba ya kukodi. Ninakaa katika Barabara ya Main. Ninakaa na wachumba wawili. Nyumba yangu ni kubwa. Ina sebule kubwa, jikoni kubwa, chumba cha kula kikubwa, mabafu matatu na vyoo vitatu, jikoni kubwa na vyumba vitatu vya kulala. Ninapenda nyumba yangu sana!
Zoezi la 2: Kuzungumza
Jamila is an exchange student who will be spending a semester in Kenya. You will be sharing an apartment with Jamila. Send Jamila a voice note introducing yourself, and describe the apartment to her.
Zoezi la 3: Kuandika
Juma is looking for a roommate in the fall, and you have availability in your apartment. Send Juma an email describing your apartment, be sure to mention all the different rooms in your house.