SURA YA VII: VYAKULA NA MAPISHI
30 Lesson 1: Kuenda Sokoni
Lesson 1: Kuenda Sokoni
Performance Objectives
By the end of this lesson, the student will be able to;
- state and identify the different types of markets in East Africa.
- buy and bargain for various items in the market.
- say the names of different fruits, vegetables, and drinks.
Msamiati
Category | Kiswahili | English |
Matunda | Tofaa | Apple |
Ndizi | Banana | |
Chungwa/Machungwa | Orange/Oranges | |
Embe/Maembe | Mango | |
Nanasi | Pineapple | |
Tikiti maji | Watermelon | |
Parachichi | Avocado | |
Mboga | Kabichi | Cabbage |
Nyanya | Tomato | |
Mchicha | Spinach | |
Kitunguu/Vitunguu | Onion/Onions | |
Karoti | Carrots | |
Viazi | Potatoes | |
Pilipili hoho | Bell pepper | |
Vinjwaji | Maji | Water |
Juisi | Juice | |
Chai | Tea | |
Kahawa | Coffee | |
Maziwa | Milk | |
Soda | Soda | |
Pombe | Alcohol | |
Mvinyo | Wine | |
Other Vocab | Kununua | To buy |
Kuuza | To sell | |
Muuzaji | Seller/Vendor | |
Mnunuzi | Buyer | |
Soko | Market | |
Punguza tafadhali | Reduce please | |
Punguza bei | Reduce the price | |
Bei | Price | |
Bei ghali | Too expensive/high price | |
Bei nafuu | Fair price | |
Lipa | Pay | |
Chukua pesa | Take the money | |
Leta pesa | Give me the money | |
Shilingi | Kenyan shillings | |
Dola | Dollars |
Zoezi la 1: Msamiati
Review vocabulary using flashcards
Photo by Madalina Batlan on Unsplash
Photo by Xiaolong Wong on Unsplash
Photo by JACQUELINE BRANDWAYN on Unsplash
Photo by tripleMdesignz on Unsplash
Photo by Alex Ghizila on Unsplash
Photo by Mockup Graphics on Unsplash
Photo by Lars Blankers on Unsplash
Photo by Elianna Friedman on Unsplash
Photo by Nick Fewings on Unsplash
Photo by Lars Blankers on Unsplash
Photo by Jonathan Pielmayer on Unsplash
Photo by Mockup Graphics on Unsplash
Photo by charlesdeluvio on Unsplash
Photo by Matheus Cenali on Unsplash
Photo by The New York Public Library on Unsplash
Photo by Shumilov Ludmila on Unsplash
Zoezi la 2: Mboga na Matunda
Write in singular /plural
Zoezi la 3: Unapenda mboga na Matunda gani?
Go around the class asking your classmates what they like about fruit, vegetables, and drinks, and what they don’t like. Fill in the information in this table, then share your findings with the class.
Mfano:
Mwanafunzi 1: Unapenda kula matunda gani?
Mwanafunzi 2: Ninapenda kula Maembe na parachichi lakini sipendi ndizi.
Mwanafunzi 1: Unapenda kula mboga gani?
Mwanafunzi 2: Ninapenda kula mchicha lakini sipendi kula brokoli.
Mwanafunzi 1:Unapenda kinywaji gani?
Mwanafunzi 2: Ninapenda kahawa lakini sipendi maziwa.
Jina | Anapenda nini? | Hapendi nini? |
Sokoni: Kuuza na Kununua
Mazungumzo 1: Ndizi ni pesa ngapi?
Mnunuzi: Hujambo bibi/bwana
Muuzaji: Sijambo.Ungependa kununua nini?
Mnunuzi: Ndizi ni pesa ngapi?
Muuzaji: Ndizi ni shilingi hamsini.
Mnunuzi: Chukua pesa
Muuzaji: Asante
Mnunuzi: Kwaheri
Muuzaji: Kwaheri
Zoezi la 4: Scenario
Kununua Nyanya, Matofaa, na Sukuma wiki
You have stopped by a market in Kenya to buy some tomatoes, apples, and kale. You would like 2 kgs of tomatoes, 4 apples, and 3 bunches of kale. 1 kg of tomatoes goes for 80 shillings, an apple goes for 20 shillings, and a bunch of kale goes for 10 shillings. Role-play buying and selling with a partner, then write the dialogue below.
Zoezi la 5: Tazama Video
https://www.youtube.com/watch?v=wS_tCG9Zm1o&feature=player_detailpage
Maswali
- Mnunuzi angependa kununua nimi?
- Muuzaji anauza shilingi ngapi?
- Mnunuzi angependa kununua pesa ngapi?
- Muuzaji aliuza shilingi gani?
Mazungumzo 2: Kupiga Bei
Mnunuzi: Hujambo bibi/bwana
Muuzaji: Sijambo.Ungependa kununua nini?
Mnunuzi: Tofaa ni pesa ngapi?
Muuzaji: Tofaa ni shilingi hamsini.
Mnunuzi: Nina shillingi ishirini tu?
Muuzaji: Leta arobaini.
Mnunuzi: Chukua pesa.
Muuzaji: Asante.
Mnunuzi: Kwaheri.
Muuzaji: Kwaheri.
Zoezi la 5: Kupiga Bei
Juma ananunua chakula kwa Mama Hamisi
Juma: Shikamoo mama Hamisi?
Mama Hamisi: Marahaba Juma, habari za mchana?
Juma: Nzuri sana. Na wewe je?
Mama Hamisi: Nzuri pia.
Juma: Habari za Mzee Hamisi na watoto?
Mama Hamisi: Wao hawajambo. Ungependa kununua nini leo?
Juma: Ningependa kununua mchele kilo moja, mchicha, nyanya kilo mbili, vitunguu kilo tatu, na maziwa lita moja na nusu.
Mama Hamisi: Sawa. Nitakuuzia kwa bei nafuu.
Juma: Bidhaa ni pesa ngapi?
Mama Hamisi: Mchele kilo moja ni shilingi mia moja na arobaini, mchicha ni shilingi ishirini, nyanya kilo mbili ni shilingi themanini, vitunguu kilo tatu ni shilingi mia moja, na maziwa lita moja na nusu ni shilingi arobaini na tano.
Juma: Aah Mama Hamisi, hiyo ni bei ghali sana. Punguza kidogo tafadhali. Nina shilingi mia moja na ishirini kwa mchele kilo moja, mchicha shilingi kumi, nyanya shilingi sabini, vitunguu shilingi sabini, na maziwa shilingi thelathini na tano.
Mama Hamisi: Leta shilingi mia moja na thelathini kwa mchele, mchicha shilingi kumi na tano, nyanya shilingi sabini na tano, vitunguu shilingi themanini na tano, na maziwa kwa shilingi arobaini.
Juma: Sawa sawa. Chukua pesa.
Mama Hamisi: Asante sana. Kwaheri, Juma
Juma: Kwaheri, Mama Hamisi.
Maswali
- Mnunuzi ni nani?
- Muuzaji ni nani?
- Juma angependa kununua nini?
- Bidhaa ni pesa ngapi kwa jumla?
- Juma angependa kununua bidhaa kwa pesa ngapi?
- Juma alinunua bidhaa kwa pesa ngapi kwa jumla?
Zoezi la 6: Scenario
Kupiga Bei
Your mother asked you to go to a vegetable and fruit market and buy apples, bananas, and oranges. You only have 200 shillings upon getting to the market, and you realize that apples, bananas, and oranges cost 230 shillings. Role-play the scenario of the buyer and the seller, showing how people in East Africa bargain for the prices to be lowered.
CULTURAL NOTE
The East African region comprises countries with diverse cultures ( like Kenya, Tanzania, Uganda, Ethiopia, and Rwanda), and all these countries have some shared and some unique market buying and selling cultures. This culture is a blend of historical traditions, cultural etiquette, and evolving modern practices. One of the significant aspects of buying and selling in traditional East African markets is negotiation or bargaining. This is where a buyer negotiates for the price of an item to be lowered as much as possible. However, the whole experience is not just about lowering the price; it’s often a social interaction that builds connections among community members and also between buyers and sellers. The transaction always starts with a friendly greeting, e.g., Hujambo Bwana/Bibi? and a smile. In some cases, the seller will ask the buyer about their family, work, etc, depending on their level of familiarity. Masoko ya wazi, also referred to as open-air markets, are common, prevalent, and vibrant in East African communities. They are central to daily life, not just for trade but also for social interaction, news exchange, and sometimes even for settling disputes or religious activities. The products sold at these markets are primarily agricultural produce (fruits, vegetables, grains), livestock, local craft products, and clothing, mostly from local farmers and vendors. In most East African markets, weights and measures might be less standardized, with items often sold by common containers or visual estimation. These markets play a crucial role in supplying food, especially to the poor and rural communities, and often offer fresher and more affordable options than supermarkets. These markets are crucial as they provide income for small farmers and women. Other than markets, we have maduka (shops), maduka ya jumla (supermarkets), and shopping malls. While traditional markets still dominate, Western-style supermarkets and shopping malls are growing, particularly in urban centers. These offer a wider range of packaged goods and imported products. Boutiques and dedicated stores selling specific items like electronics, fashion, or imported goods are also becoming more common. |