"

SURA YA V: SHUGHULI ZA KILA SIKU

22 Lesson 3: Ratiba na Siku za Wiki

Performance Objectives

By the end of this lesson, the learner will be able to;

  • talk about their daily schedules, school schedules, and weekend schedules
  • identify days of the week and their order in Swahili

Msamiati

Kiswahili English
Siku Day
Wiki Week
Siku za wiki Days of the week
Leo ni Today is…
Leo ni siku gani? What day is it today?
Jana ilikuwa siku gani? What day was it yesterday?
Kesho itakuwa siku gani? What day will it be tomorrow?
Juzi ilikuwa siku gani? What day was the day before yesterday?
kufikiri To think
Siku za wiki

Jumamosi

Jumapili

Jumatatu

Jumanne

Jumatano

Alhamisi

Ijumaa

Days of the week

Saturday

Sunday

Monday

Tuesday

Wednesday

Thursday

Friday

Juma wakes up unsure of what day it is and which class he needs to attend, so he asks Bahati for the day of the week.

Mazungumzo 1: Leo ni siku gani?

Juma: Hujambo Bahati?

Bahati: Sijambo Juma, na wewe je?

Juma: Mimi pia sijambo. Leo ni siku gani?

Bahati: Leo ni Jumanne.

Juma: Asante. Ninaenda darasa la Kemia. Nimechelewa sana.

Bahati: Ulifikiri leo ni siku gani:

Juma: Nilifikiri leo ni Alhamisi.

Bahati: Sawa tutaonana baada ya darasa

Juma: Sawa kwaheri tutaonana baadaye.

Zoezi la 1: Siku za Wiki

Find all the days of the week from this grid search and arrange them in their order as they appear in Swahili (reference the cultural note at the beginning of this chapter) from the first day to the last day of the week.

Zoezi la 2:  Ratiba ya Simba ya shule

Listen and create a summary of Simba’s Monday-Friday schedule.

Zoezi la 3: Ratiba ya Amina ya shule

  9:00 a.m 10:00a.m 11:00 a.m. Noon. 1:00 p.m. 2:00 p.m. 3:00 p.m. 4:00 p.m.
Mon Swahili Gym Biology Physics
Tue Chemistry
Wed Swahili Biology Physics
Thursday Gym Chemistry
Friday Swahili Biology Physics

Describe Amina’s weekly schedule.

Zoezi la 4: Kuzungumza na Kuandika

  8:00 a.m. 9:00 a.m 10:00a.m 11:00 a.m. Noon. 1:00 p.m. 2:00 p.m. 3:00 p.m. 4:00 p.m.
Mon
Tue
Wed
Thursday
Friday

In pairs, discuss the weekly semester schedule with a peer and fill in this table. You will exchange, and while you answer the questions, your peer will fill in your schedule. Use the questions below to guide your conversation.

Maswali

  1. Wewe huamka saa ngapi?
  2. Wewe hufanya nini baada ya kuamka?
  3. Wewe hufanya nini Jumatatu hadi Ijumaa?
  4. Wewe huenda darasani saa ngapi?
  5. Una madarasa mangapi?
  6. Darasa la kwanza nis aa ngapi?
  7. Wewe hufanya nini baada ya darasa la kwanza
  8. Darasa la pili nis aa ngapi?
  9. Darasa la mwisho nis aa ngapi

Zoezi la 5: Kuandika

After filling in the table, write a short paragraph describing your typical weekday routine.

License

Icon for the Creative Commons Attribution 4.0 International License

Elementary Swahili I Copyright © by Gorrety Wawire is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 International License, except where otherwise noted.