SURA YA III: SIKU YA KUZALIWA
16 Lesson 4: Siku ya kuzaliwa
Performance Objectives
By the end of this lesson, the learner will be able to;
- introduce themselves and state their birthdays
- ask and answer simple questions about their birthdays
Zoezi la 1: Kuandika
Leo ni tarehe ngapi?
Zoezi la 2: Kuandika
Ni tarehe ngapi?
Zoezi la 3: Kuandika
- Leo ni tarehe ngapi
- Jana ilikuwa tarehe ngapi?
- Kesho itakuwa tarehe ngapi?
- Huu ni mwaka gani?
- Huu ni mwezi gani?
- Ulizaliwa lini?
Zoezi la 4: Ulizaliwa lini?
Your host family would like to know your birthday so they can plan to celebrate you alongside their family birthdays. Record yourself telling them your birthday.
Zoezi la 5: Identify and highlight
Juma introduces himself on the first day of class while studying abroad in Kenya. Identify and highlight all the verbs he uses to introduce himself.
Zoezi la 6: Kusikiliza
Emma introduces herself to her class, fill in the blanks while you listen, then answer the questions that follow
LISTEN HERE!!
Fill in the Blanks
CHAPTER TEST 2
Answer the following interrogatives? (Alama 10)
- Hujambo?
- Jina lako ni nani?
- Habari za mchana?
- Baba na mama hawajambo?
- Unaitwa nani?
- Wewe unatoka jimbo gani?
- Wewe unatoka mji gani?
- Wewe unaishi wapi sasa?
- Unasoma wapi?
- Unasoma masomo gani?
- Mwalimu wa Kiswahili ni nani?
- Mwalimu wa Kiswahili anatoka wapi?
- Baba na mama wanaitwa nani?
Translate the following vocabulary to Swahili.
Please | Say it again |
Sorry | Say slowly |
Thank you | Say |
Please answer in English | Welcome |
III. Complete the blank spaces in this conversation. (Alama 5)
Mazungumzo baina ya Bibi Maria na Bwana Juma.
- Write ten sentences in Swahili introducing yourself. (Alama 10)
1. | |
2. | |
3. | |
4. | |
5. | |
6. | |
7. | |
8. | |
9. | |
10. |