SURA YA 1: MAAMKIO
5 Lesson 5: Maamkio ya Nyakati Tofauti za Siku
Performance Objectives
By the end of this unit, the learners will be able to:
- greet each other depending on the different times of the day(Morning, Afternoon, and Evening)
Msamiati
Kiswahili | Kiingereza |
Asubuhi | Morning |
Mchana | Afternoon |
Jioni | Evening |
Usiku | Night |
Zoezi la 1: Msamiati Review
Photo by Federico Respini on Unsplash
Photo by Martins Cardoso on Unsplash
Photo by Jason Richard on Unsplash
Photo by Casey Horner on Unsplash
Mazungumzo 1: Maamkio kati ya Karim na Mwalimu
Mwalimu: Hujambo Karim?
Mwanafunzi: Sijambo, mwalimu.
Mwalimu: Habari za Asubuhi?
Mwanafunzi: Nzuri sana, na wewe je?
Mwalimu: Salama tu.
Zoezi la 1: Scenario
You are walking to class one morning, and you see two of your classmates. Greet them and say goodbye. Use jambo and habari greetings.
Zoezi la 2: Scenario
You enter the classroom in the morning, and you meet your classmate, say hello to him/her. (Use both jambo and habari greetings)
Zoezi la 3: Drag the words/expressions into the correct box.
Mazungumzo 3: Maamkio kati ya Simba na Malaika
Malaika: Hujambo Simba.
Simba: Sijambo na wewe je?
Malaika:Mimi pia sijambo?
Malaika: Habari za mchana?
Simba: Nzuri sana. Na wewe je?
Malaika: Nzuri pia. Asante, kwaheri.
Simba: Asante, kwaheri.
Zoezi la 4: Role Play
You are on an exchange program in Kenya. You decide to pass by your Kenyan friend’s house one afternoon and say hi, greet them, and ask about their family and studies. (Remember to use both jambo and habari greetings.)
Zoezi la 5: Kusikiliza: Tazama video
Listen to the conversation between Juma, Bahati, and their friends and fill in the blanks.
https://drive.google.com/file/d/19f03ngQaCHjTXRfGeSpNPy82cCk_9v9A/view?usp=sharing